iqna

IQNA

Ghuba ya Uajemi
Maoni
TEHRAN (IQNA)- Jana, tarehe 10 Ordibehest, 1402 Hijria Shamsia sawa na Aprili 30, ilikuwa siku ya kumbukumbu ya kufukuzwa wakoloni wa Kireno katika maji ya Kusini mwa Iran hapo mwaka 1622, na inatambuliwa nchini Iran kuwa Siku ya Kitaifa ya Ghuba ya Uajemi .
Habari ID: 3476942    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/01

Iran na Eneo
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vipengee vya taarifa ya kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3475754    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/09

TEHRAN (IQNA) - Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi limeilitaka shirika Netflix kuondoa maudhui ya kuudhi kwenye jukwaa lake la filamu.
Habari ID: 3475747    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/07

Jinai za Marekani
TEHRAN (IQNA) Tarehe 3 kila mwaka nchini Iran Julai ni siku ya kumbukumbu ya shambulio la kombora lililofanywa na meli ya kivita ya Marekani ya Vincennes dhidi ya ndege ya abiria ya Iran aina ya Airbus iliyokuwa ikiruka kutoka Bandar Abbas kuelekea Dubai.
Habari ID: 3475460    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/04

Taarifa ya IRGC
TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC limetangaza kuwa limesimamisha meli moja ya mafuta ya Uingereza baada ya kukiuka sheria za kimataifa za ubaharia katika Lango Bahari la Hormuz.
Habari ID: 3472049    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/20